Sports

NASHON ATAMBULISHWA RASMI SIMBA

Tarehe: 20 Jul, 2026


#MICHEZO: Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kumsajili kiungo Kelvin Nashon kutoka Pamba Jiji FC kuelekea msimu mpya wa mashindano 2026/27.


Nashon amejiunga na Wekundu wa Msimbazi kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, ambao utamuweka ndani ya klabu hiyo hadi mwaka 2028.

Usajili huo ni sehemu ya maboresho ya kikosi yanayofanywa na Simba SC katika kujiandaa na mashindano ya ndani na kimataifa msimu ujao.

Sikiliza MAIN FM kupitia 91.7 Mhz Kigoma, Kasulu, Uvinza, Buhigwe.

Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijami, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube Main FM Tanzania pia tusikilize kupitia www.mainfm.co.tz pia Radio Box na Radio Garden tafuta Main FM

Fuatilia Youtube Chaneli Yetu ya Main FM Tanzania
#trending #viral #instagram #explorepage